AZAM FC NA TANZANIA PRISONS ZAAGA MICHUANO YA CRDB FEDERATION CUP (FA)
AZAM FC NA TANZANIA PRISONS ZAAGA MICHUANO YA CRDB FEDERATION CUP (FA)
Klabu ya Azam FC imeaga michuano ya CRDB Federation Cup kwa kuchapo cha penati 4-2 kutoka kwa Mbeya City baada ya sare ya goli 1-1 ndani ya dakika 90.
Katika hatua nyingine Tanzania Prisons wazee wa kuku kishingo nao wametupwa nje kwa mikwaji ya penati 3-2 dhidi ya Bigman FC kufuatia sare ya goli 1-1 ndani ya dakika 90.
NB: KMC na SINGIDA BLACK STARS (timu za ligi kuu) wakati MBEYA CITY na BIGMAN FC (timu za Championship) wamefanikiwa kusonga mbele hatua ya 16 bora.

Post a Comment