AZIZI KI, PRINCE DUBE NA MAX NZENGELI WANACHUANA KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI WA PIL
AZIZI KI, PRINCE DUBE NA MAX NZENGELI WANACHUANA KUWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA MWEZI WA PILI.
Wachezaji watatu wa klabu ya Yanga wanawania tuzo ya mchezaji bora wa klabu hiyo kwa mwezi wa pili zinazodhaminiwa na NIC INSURANCE.
Je, nani unampigia chapuo kutwaa tuzo hiyo andika maoni yako kwenye comment hapo chini 👇👇👇.

Post a Comment